• Sat. Mar 25th, 2023

Asukumwa jela miaka 5 kwa kumrusha mwanadada kutoka orofa ya 12 hadi ya tisa

By

Dec 2, 2022
[contact-form-7 id="3805" title="Contact form 1"]

NA RICHARD MUNGUTI MAMBO yamemwendea mrama mtaalam wa masuala ya teknolojia (ICT) aliyemsababishia majeraha ya kudumu msichana aliyemchumbia katika mtandao wa Facebook. Mtaalamu huyo mnamo Alhamisi alisukumwa jela miaka mitano bila faini. Moses Gatama Njoroge aliyemfurusha Eunice Wangari Wakibi kutoka orofa ya 12 hadi orofa ya tisa baada ya mrembo kukataa kufanya tendo la ndoa alipelekwa moja […]

ALSO READ  Raila Odinga Fires Warning Shots To Ruto As Four IEBC Commissioners Summoned To Parliament

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

[contact-form-7 id="3805" title="Contact form 1"]
Text Us
Generated by Feedzy