NA BENSON MATHEKA KIONGOZI wa Azimio la Umoja-One Kenya, Raila Odinga ameapa kwamba hatakubali makamishna wanne wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mpaka (IEBC) waliosimamishwa kazi kwa kupinga matokeo ya kura ya urais Agosti 9 waondolewe ofisini. Bw Odinga alisisitiza kuwa serikali ya Kenya Kwanza inawaandama makamishna hao ikilenga uchaguzi mkuu ujao wa 2027 na […]
Related Post
[contact-form-7 id="3805" title="Contact form 1"]