NA MWANAMIPASHO NDUGU zanguni leo nilikuwa niendelee na tulikoachia wiki iliyopita, ila bwana kuna haya mapya. Hivi mnazo hizo habari za huyo soshiolaiti anayekwenda kutesekea nyuma ya nondo akila maharage kwa miaka sijui mingapi vile? Namzungumzia soshiolaiti Sheila Wairimu aliyekutwa hatiani ya kumwibia tajiri mmoja gari la kifahari aina ya Toyota V8. Dada yenu bwana […]
DOMO: Aisee ukiwa mzembe, nyeti ndio zitaumia!
[contact-form-7 id="3805" title="Contact form 1"]
Related Post
[contact-form-7 id="3805" title="Contact form 1"]