NA SINDA MATIKO WAPO watu waliojaliwa neema ya kusalia na nyuso za kitoto hata umri uwasonge vipi. Mmoja wao ni Katoi wa Tabaka. Mara yangu ya kwanza kumcheki akipiga shoo ni wikendi iliyopita nilipokuwa zangu Pwani nilipokwenda kusaka mchuzi wa pweza ili unifanyie ile kitu. Baada ya shoo pale Swahili Pot Hub, nikamfuata msela kumpongeza. […]
KIPWANI: Katoi wa Tabaka alivyosalia na ‘baby face’
[contact-form-7 id="3805" title="Contact form 1"]
Related Post
[contact-form-7 id="3805" title="Contact form 1"]