Na MASHIRIKA JAPO Uruguay walitandika Ghana 2-0 katika pambano lao la mwisho la Kundi H kwenye fainali za Kombe la Dunia zinazoendelea nchini Qatar, mabingwa hao mara mbili wa dunia (1930, 1950), waliaga kipute cha mwaka huu katika hatua ya makundi. Waliambulia nafasi ya tatu kundini kwa alama nne sawa na Korea Kusini waliowapiku kwa […]
KOMBE LA DUNIA FIFA 2022: Uruguay waaga mashindano licha ya kukung’uta Ghana 2-0 katika Kundi H
[contact-form-7 id="3805" title="Contact form 1"]
Related Post
[contact-form-7 id="3805" title="Contact form 1"]