• Thu. Mar 23rd, 2023

MIZANI YA HOJA: Jipangie jinsi ya kuendelea kuishi vizuri wakati wa mtihani na baada ya mtihani

By

Dec 1, 2022
[contact-form-7 id="3805" title="Contact form 1"]

NA WALLAH BIN WALLAH MITIHANI ni sehemu ya maisha ya kila siku kwa mwanadamu. Kuna mitihani sampuli nyingi sana maishani kama vile mitihani ya kiuchumi na gharama ya maisha; mitihani ya afya na misukosuko ya bughdha za maradhi mwilini; mitihani ya kuhangaika kutafuta pesa ndipo mtu ale ashibe, avae vizuri na alale unono. Lakini mtihani […]

ALSO READ  Safaricom reduces airtime, data prices as Airtel erodes its market dominance

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

[contact-form-7 id="3805" title="Contact form 1"]
Text Us
Generated by Feedzy