NA JUSTUS OCHIENG HUENDA afisi ya kiongozi rasmi wa upinzani ikabuniwa nchini ikiwa mchakato mpya wa marekebisho ya Katiba utafaulu kuijumuisha humo. Taifa Leo imeona stakabadhi inayopendekeza kumpa mshikilizi wa wadhifa huo mamlaka makubwa, ikiwemo nafasi ya kuhutubia Bunge kila mwaka, kuteua wanachama katika tume za kikatiba na kupata ufadhili kutoka kwa Hazina ya Kitaifa.Inatarajiwa […]
Raila kupewa mamlaka iwapo Mswada utapita
[contact-form-7 id="3805" title="Contact form 1"]
Related Post
[contact-form-7 id="3805" title="Contact form 1"]