NA MASHIRIKA KAMPALA, UGANDA WIZARA ya afya nchini Uganda imesema raia wa Uganda 46 hufariki kila siku kutokana na ugonjwa wa Ukimwi. Kufuatia tangazo hilo, bunge limeiomba serikali kuanzisha upya kampeni kali za uhamasisho kuhusu ukimwi. Isitoshe, wabunge wamesisitiza, hamasisho lifanyike haswa miongoni mwa vijana ili kupunguza kasi ya maambukizi. Wito huo ulifuatia taarifa ya […]
Takriban raia wa Uganda 46 hufariki kwa Ukimwi kila siku
[contact-form-7 id="3805" title="Contact form 1"]
Related Post
[contact-form-7 id="3805" title="Contact form 1"]