• Tue. Mar 28th, 2023

Tunisia ina kibarua kulaza Ufaransa leo Jumatano

By

Nov 30, 2022
[contact-form-7 id="3805" title="Contact form 1"]

NA MASHIRIKA AL RAYYAN CITY, Qatar UFARANSA tayari wamefuzu kwa hatua ya 16-Bora, lakini leo Jumatano watakutana na Tunisia ambao ushindi utafufua matumaini yao ya kutinga katika raundi hiyo ya maondoano. Baadhi ya mashabiki wanatarajia kocha Didier Deschamps kutumia wachezaji wengi wa akiba kutokana na sababu hiyo, lakini huenda mkongwe huyo akateremsha uwanjani kikosi kamili […]

ALSO READ  President Ruto suspends 4 embattled IEBC commissioners

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

[contact-form-7 id="3805" title="Contact form 1"]
Text Us
Generated by Feedzy