NA BRIAN OCHARO WAATHIRIWA wa sumu ya madini katika eneo la Owino Uhuru wamepata pigo baada ya uamuzi kuhusu fidia ya Sh1.3 bilioni waliyotuzwa miaka miwili iliyopita kusukumwa mbele kwa miezi mingine mitatu. Uamuzi huo uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu ambao ulipangwa kutolewa jana Ijumaa ulisukumwa hadi tarehe ya baadaye kupitia mawasiliano yaliyotumwa kwa pande zinazohusika […]
Waathiriwa wa sumu eneo la Owino Uhuru wapata pigo
[contact-form-7 id="3805" title="Contact form 1"]
Related Post
[contact-form-7 id="3805" title="Contact form 1"]