NA PHILIP MUYANGA SERIKALI ya Kaunti ya Mombasa na bunge la kaunti hiyo, zimeshtakiwa na wafanyabiashara wa muguka kwa pendekezo la kuongeza ada ya leseni za biashara hiyo kwa asilimia 100. Wafanyabiashara hao wanadai kuwa serikali hiyo inaendelea na mchakato wa kupitisha mapendekezo yao kwenye bajeti ya 2022/2023 bila kufuata sheria. Kulingana nao, serikali hiyo […]
Related Post
[contact-form-7 id="3805" title="Contact form 1"]